Serikali Kenya  kufungua vituo 25,000 vya huduma za intaneti ya bure

Serikali Kenya kufungua vituo 25,000 vya huduma za intaneti ya bure

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Kidijitali nchini Kenya, Eliud Owalo amesema lengo la kutoa Wi-Fi bure ni kukidhi hitaji linalokua kwa kasi na lenye umuhimu kwa Wananchi

Pia amesema "Serikali inaamini katika Uwekezaji wa Kidijitali kama njia ya kuwezesha Ujuzi wa Vijana. Pia, tunatambua Mapungufu ya Ujuzi na kutoa Mafunzo ili kuhakikisha Vijana wanatumia Mtandao kujipatia riziki"

Aidha, Serikali itasambaza huduma ya Wi-Fi ya bure kwenye Masoko ili kusaidia Wafanyabiashara kupata manufaa kwa kutangaza Biashara zao Mtandaoni






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post