Bunge lasitisha muswada wa bima kwa wote

Bunge lasitisha muswada wa bima kwa wote

Serikali imeondoa Muswada wa Bima ya Afya kwa wote kutokana na mashauriano yanayoendelea kati ya Bunge na Serikali. Hatua hiyo imefikiwa ikiwa tayari Muswada umesomwa kwa mara ya kwanza kwenye Bunge lililopita.

Spika Tulia Ackson amesema, “Muswada huo utaletwa hapa Bungeni tutakapokuwa tumemaliza hayo mashauriano kwa kuwa kuna hoja kadhaa zilimeibuliwa na Wabunge na wadau waliojitokeza mbele ya kamati.”

Aidha amesema Muswada ulikuwa uingie Bungeni, leo Novemba 11, 2022 kwa ajili ya mjadala na kumaliza kazi ya kuitunga Sheria husika.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags