Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya #Meta, #MarkZuckerberg ameomba radhi kwa familia zinazodai watoto wao waliathiriwa na maudhui ya mitandao ya kijamii.
Zuckerberg ambaye anami...
Nchini India ukiwa mwizi sana unaitwa ‘Natwarlal’, kwa sababu ni jina la mwanaume mmoja kati ya wezi wakubwa kuwahi kutokea kwenye nchi hiyo.
Kwa mujibu wa t...
Bunge nchini Kenya limepiga marufuku uvaaji wa suti iliyopewa jina la aliyekuwa Rais wa Zambia marehemu Kenneth Kaunda ndani ya jengo hilo.
Spika wa Bunge, Moses Wetangula ame...
Wabunge waonesha nia ya kutaka kumsaidia aliyewahi kuwa Mbunge wa Mikumi kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ambaye pia ni mwanamuziki wa Hip Hop, Josep...
Brian Njagi anayetuhumiwa kufanya majukumu ya uwakili bila kuwa na vigezo vya elimu nchini Kenya amekana mashtaka hayo mahakamani leo Oktoba 18, 2023 huku akitangaza nia ya ku...
Nyota ya msanii mchanga #Founder_tz1 imeanza kung’aa baada ya Meneja wa #Diamondplatnumz na Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki #Babutale, kuonesha kufurahishwa na...
Ikiwa ni Siku moja tangu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, kuitaka Serikali kuwawajibisha Waajiri wanaoshindwa kuwasilisha Michango pamoja na Mifuko kutolipa madeni ya Wanach...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Dkt. Pindi Chana leo amewasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara kwa Mwaka 2023/24 Bungeni jijini Dodoma, ambapo moja y...
Rais wa kenya William Ruto amesema kura ya wazi itafanya awatambue viongozi watakaopinga mpango kuwa maadui wa maendeleo na hawana nia ya kuondoa tatizo la ajira kwa vijana wa...
Mtu mmoja nchini Marekani alifahamika kwa kwajina Richard Barnett, mwenye umri wa miaka 63, alidaiwa kujiunga na kundi la watu waliovamia majengo ya bunge la nchi hiyo mwaka 2...
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema asilimia 7 ya Watanzania wanaishi na ugonjwa wa figo huku akitoa rai kwa Wananchi kupima ugonjwa huo mara kwa mara ili kuepuka ...
Aliekuwa spika wa bunge wa zamani Rachel Ghannouchi na mmoja wa wapinzani wakuu wa Rais Kais Saied mwenye umri wa miaka 81 amehukumiwa na mahakama moja nchini Tunisia si...
Duh! Embu tukae chini na tusikitike kidogo, nyie nyie kumbe watu wana stori nzito kama hizi ni vile tu hatujakaa nao vizuri. Basi bwana kama kawaida yetu kila siku tunakusogez...