Mandonga:Ukinichukia nachukua nyota yako

Mandonga:Ukinichukia nachukua nyota yako

Ebwana eeeh!!! Kama unavyofahamu bondia huyo aishiwi maneno bwana na mara nyingi huwa na misemo mbalimbali ikiwemo ngumi mchomo, ndoige safafari hii kana hilo jipya.

Aloooo!!!  Kutoka Kwenye Ukurasa Wa Instagram Wa Bondia  Karim Mandonga ameamua kuachia ujumbe uliosome hivi

''Yaan me Ukinichukia ndo nachukua nyota yako We enjoy tu”

Unaweza kudondosha comment yako hapo chini kuhusiana na misemo mbalimbali ambayo anapenda kuitumia bondia huyo hii ya sasa unainaje?funguka






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags