Diva: Wanaume jifunzeni

Diva: Wanaume jifunzeni

Baada ya mwanadada mjasiriamali na mwandishi wa habari Zamaradi Mketema kukabidhiwa zawadi ya gari aliyonunuliwa na mume wakehuu hapa ujumbe wa mtangazaji wa radio Divatheebawse baada ya kuona post ya Zamaradi.

''My zama hongera sana ...mitano tena kwa shemejii


Ps: wanaume na Mliokuwa katika Ndoa jifunzeni kuwanunulia wake zenu na wapenzi wenu zawadi , Jifunzeni kuwapenda kuwafanyia saplaiz na kuwafanya wawe na amani furaha na upendo na muwape heshima inayostahili , Hili ni Funzo sana ..... Mjifunze .. love is beautiful love wins .. always”

Aloooh unaweza kudondosha comment yako hapo chini kuhusiana na caption hiyo aliyoandika Divatheebawse baada ya Zamaradi kupokea zawadi hiyo.

 

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags