Shujaa Majaliwa Jackson aanza Mafunzo

Shujaa Majaliwa Jackson aanza Mafunzo

Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Kamishna Jenerali John Masunga amesema kuwa tayari jeshi hilo limempokea kijana aliyeokoa abiria wa ajali ya ndege ya Precision Air, Majaliwa Jackson Samweli ikiwa ni agizo la Rais Samia Suluhu Hassan.

Aidha amesema Majaliwa anatarajia kuanza mafunzo ya Zimamoto na Uokoaji pamoja na ya Uaskari katika Chuo cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kilichopo Chogo Wilaya ya Handeni Mkoa wa Tanga.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags