Hellow! It another Monday mtu wangu wa nguvu, I hope mko good kabisa, leo katika michezo bwana yule msemaji aliefungiwa miaka 2 na faini Haji Manara, ametoa povu baada ya Tff ...
kwa taarifa zilizo tufikia hivi punde ni kwamba, Club ya Simba leo imetangaza taarifa za kifo cha aliyekuwa Daktari wa Timu hiyo Yassin Gembe kilichotokea leo mchana katika Ho...
Na Habiba MohammedEbwanaa mambo vipi? Basi bhana kwenye mitandao ya kijamii kumetaradadi sio powa, staa wa bongo movie Steve Nyerere ameandika ujumbe kuntu kama tunavyojuaga y...
Wananchiiiiiii! Wenye wanakamsemo kao wanakwambia tabu ipo pale pale, Mshambuliaji wa Yanga SC Raia wa Congo DR Fiston Mayele au mzee wa kutetema ameongeza mkataba wa kusalia ...
it anaother friday watu wangu wa nguvu kama kawaida yetu tunawasogezea habari za ukahika kabisa, basi bwana jmbo la kusikitisha ni kwamba Mwimbaji wa Bongofleva ambae pia ni M...
Aloooooooh! Naona watani wanavyo tambiana bwana, baada ya klabu ya yanga kumrudisha tena mchezaji wao mwenye mbio za swala TK master Kisinda, mzee wa mlete mzungu hakukaa kimy...
Na Habiba MohammedNiaje niajeeeee! Ebwana kama kawaida yetu tunakusogezea mada konki kuhusiana na mahusiano ambapo unapata kujifunza mambo kedekede ambayo kila mtu hachoki kuj...
Baada ya tetesi kua nyingi kwenye mitandao ya kijamii kuwa Mume wa Divatheebawse amefata pesa kwa mrembo huyo hatimaye Diva amenukanusha taarifa hizo.
Diva amefunguka na kusem...
Nyieeee ukisikia balaaa ndio hili sasa bwana Mtangazaji maarufu nchini Tanzania Divatheebawse amefafanunua kuhusu tetesi za kuingilia mahusiano ya mtu. Diva ameamua...
Weeeuuuweee! Mama wa mtoto nae hakuwa nyuma bwana naeye alizihirisha furaha yake licha ya kuzungumza kuwa watu hawatakuja kujua jinsia wala jina la mtoto wake.
Nandy kupitia u...
Kwa taarifa zilizotufikia hivi punde kutoka katika ukurasa rasmi wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluh Hassan kutoa salamu za pole kwa mzee Mwinyi kwa kufiwa...
Na Habiba Mohamed
Aloooooooh! Baada ya kuficha kwa muda mrefu kuwa nandy hajajifungua mara hatotaja jinsia wala jina la mtoto, waswahili wenyewe wanasemaga ni maneno ya mimba ...