Mayele yupo yanga mpaka 2024

Mayele yupo yanga mpaka 2024

Wananchiiiiiii! Wenye wanakamsemo kao wanakwambia tabu ipo pale pale, Mshambuliaji wa Yanga SC Raia wa Congo DR Fiston Mayele au mzee wa kutetema ameongeza mkataba wa kusalia Yanga SC. hadi mwaka 2024.


Mayele kwa muda mrefu alikuwa akihusishwa na tetesi za kwenda Club ya Orland Pirates ya Afrika Kusini, RS Berkane ya Morocco na Al Hilal ya Sudan

Aidha kupitia ukurasa wake wa Instagram mshambuliaji huyo alisema kuwa “ wananchi naitwa Fiston Kalala Mayele, yanga bado nipo nipo sana” amesema Mayele

Aloooooh! Kama wewe ni mwananchi basi dondosha komenti yako hapo chini, na utuambie unapata furaha hii ukiwa wapi.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags