Bunge lapendekeza wanawake kupewa likizo ya hedhi kila mwezi, Morocco

Bunge lapendekeza wanawake kupewa likizo ya hedhi kila mwezi, Morocco

Hellooow! Ni siku nyingine tena kama kawaida yetu Mwananchi Scoop hatunaga mba mba mba, tunakusogeza zile habara moyo unapenda, basi bwana Bunge la Morocco limependekeza mswada utakaowaruhusu wanawake kupewa siku za likizo ya hedhi yenye malipo.

Kulingana na mswada huo, wafanyakazi wa kike hawatahitaji kutoa ushahidi wa matibabu kila wakati wanapohitaji kuwa nyumbani. Lengo likiwa ni kuboresha hali ya wanawake kazini na kuondoa vikwazo vyote vinavyowakabili wanawake katika maisha ya umma.

Duuuuuuuuh! Kwa mtazamo wako je inawezekana kwa wanawake kupewa likizo ya hedhi kila mwezi? Dondosha komenti yako hapo chini mtu wangu wa nguvu.



chanzo BBC






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags