Mwigizaji Fredy afariki dunia, Johari azungumza

Mwigizaji Fredy afariki dunia, Johari azungumza

Mwigizaji wa Bongo Movie Fredy Kiluswa amefariki dunia leo Novemba 16,2024 akipatiwa matibabu katika hospitali ya rufaa Mloganzila.

Taarifa hiyo imethibitishwa na mwigizaji mwenzie Blandina Changula 'Johari' wakati akizungumza na Mwananchi

"Siwezi hata kuongea chochote, lakini taarifa za kifo ni kweli amefariki leo akiwa anapatiwa matibabu hospitali Mloganzila, "amesema Johari ambaye alikuwa mzalishaji wa tamthilia ya 'Lawama' ambayo Fredy amewahi kucheza






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags