Alikiba akutwa na corona

Alikiba akutwa na corona

it anaother friday watu wangu wa nguvu kama kawaida yetu tunawasogezea habari za ukahika kabisa, basi bwana jmbo la kusikitisha ni kwamba Mwimbaji wa Bongofleva ambae pia ni Mfalme wa muziki hu, Alikiba ametangaza kusitisha tour yake nchini Marekani ambayo ilikua ianze September 2 2022 baada ya kukutwa na virusi vya corona.

Alikiba ameelezea masikitiko yake na kusema hakuna kitu muhimu kwake kama afya ya Bendi yake, Timu yake na Mashabiki zake hivyo wamelazimika kuiahirisha kwa sasa “ninaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza, Mungu akijalia tutaonana hivi karibuni” amesema King Kiba

Duuuuuuh! Ni jambo la kusikitisha kweli hili, tunamuombea afya yake iimarike mapema na kuendelea na majukumu yake ya kila siku.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags