Daktari wa simba afariki

Daktari wa simba afariki

kwa taarifa zilizo tufikia hivi punde ni kwamba, Club ya Simba leo imetangaza taarifa za kifo cha aliyekuwa Daktari wa Timu hiyo Yassin Gembe kilichotokea leo mchana katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

kupitia ukurasa wa Instagram wa simba umeandika kuwa “Kwa masikitiko makubwa tunatangaza kifo cha aliyekuwa Daktari wa Timu yetu ya Wanaume (senior team) ambaye kwa sasa alikuwa Daktari wa Timu ya Vijana (Youth team) Dr. Yassin Gembe ambacho kimetokea leo mchana kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili”

 Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags