Mtoto wa mzee Mwinyi afariki

Mtoto wa mzee Mwinyi afariki

Kwa taarifa zilizotufikia hivi punde kutoka katika ukurasa rasmi wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluh Hassan kutoa salamu za pole kwa mzee Mwinyi kwa kufiwa na Mwanae.

Rais Samia kupitia ukurasa wake wa twitter ameandika kuwa “Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Hassan Ali Hassan Mwinyi, Mtoto wa Mzee wetu Ali Hassan Mwinyi na Kaka wa Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi, nawapa pole Wanafamilia kwa msiba huu, Mwenyezi Mungu amrehemu Hassan na amjaalie Pepo. Inna lillahi wa inna ilayhi rajiuun” ameandika Rais Samia

Usiache kufuatilia mitandao yetu ya kijamii kwa taarifa zaidi.

 

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags