Mwaka 2024 umekuwa mgumu kwa kampuni ya Sony Pictures, hasa katika mauzo ya filamu zake tatu ikiwa ni pamoja na Kraven the Hunter, Venom: The Last Dance, na Madame Web, baada ...
Mtayarishaji wa muziki nchini S2kizzy ametangaza kuongeza studio mbili za kurekodia kutokana na kuelemewa na foleni kubwa ya wasanii wanaohitaji huduma. "Inabibidi niongeze st...
Nyota wa kimataifa wa soka, ambaye kwa sasa anachezea klabu ya Inter Miami CF na timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi ameripotiwa kufungua studio aliyoipa jina la ‘52...
Baada ya mwanamuziki Marioo kutua nchini Kenya na kupokelewa kwa shangwe, ameingia studio na msanii Bien.Kupitia ukurasa wa Instagram wa Marioo amechapisha picha akiwa na msan...
Baada ya kutoa taarifa kuwa anakuja na ngoma mfululizo kupitia ukurasa wake wa Instagram na sasa ‘rapa’ Mr Blue ametangaza kufungua studio yake ya muziki iliyoipa ...
Trela ya animation ‘Moana 2’ imeweka rekodi ya kutazamwa na zaidi ya watu milioni 178 katika saa 24 tangu kuachiwa kwake na kuifanya kuwa trela ya kihistoria ambay...
Wanamuziki kutoka nchini Diamond, Jux, Billnass, Mbosso na mtayarishaji S2kizzy (Zombie) wako jikoni kuandaa ngoma ya pamoja ambapo kupitia video inayosambaa mitandaoni inawao...
Baada ya kuhudhuria na kushuhudia ugawajwi wa Tuzo za Grammy 66, zilizofanyika nchini Marekani siku ya Jumapili, mwanamuziki Rayvanny ameendeleza ziara yake nchini humo na sas...
Alex Burkan ambaye ni mhandisi na YouTuber kutoka Russia, ametengeneza 'suti' halisi ya kishujaa yenye muundo wa ile iliyoonekana kwenye filamu ya iron man. Suti hiyo inajumui...
Mtangazaji wa Shirika la Habari #BBCnews aitwaye Maryam Moshiri ameomba radhi baada ya kuonekana akionesha kidole cha kati wakati akiwa live kwenye Tv, na kupelekea watu kutaf...
Baada ya kutua katika jiji la Dar es salaam usiku wa kuamkia leo mwamuziki kutoka #Congo anaetamba #Bongo kupitia wimbo wake wa ‘Tabulele’, sasa msanii huyo tayari...
Wasanii kutoka nchini Nigeria, Burna Boy, Wizkid na Skepta wameingia studio kwa mara ya kwanza huku wakionekana kila mmoja akiiingiza voko zake.
Hii itakuwa ni ngoma ya kwanza...
Baada ya kutamba katika ngoma zao kadhaa ikiwemo ‘Godwin’ na ‘Mungo Park’ hatimaye wanamuziki kutoka nchini Nigeria Korede Bello na Don Jazzy wameingia...
Msanii wa hip-hop nchini #Fidq ame-share ‘chati’ zake na msanii #ChristianBella akimuitwa studio kwa lengo la kufanya naye ngoma.Kupitia ukurasa wa Instagram wa #F...