Mtangazaji aomba radhi kwa kunyoosha kidole cha kati akiwa live

Mtangazaji aomba radhi kwa kunyoosha kidole cha kati akiwa live

Mtangazaji wa Shirika la Habari #BBCnews aitwaye Maryam Moshiri ameomba radhi baada ya kuonekana akionesha kidole cha kati wakati akiwa live kwenye Tv, na kupelekea watu kutafsiri vibaya kitendo hicho

Maryam ameomba radhi kwa kudai kuwa tukio hilo lilikuwa ni utani tu na timu yake ya studio wakati anaanza kutangaza.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags