Rayvanny ndani ya studio ya MJ

Rayvanny ndani ya studio ya MJ

Baada ya kuhudhuria na kushuhudia ugawajwi wa Tuzo za Grammy 66, zilizofanyika nchini Marekani siku ya Jumapili, mwanamuziki Rayvanny ameendeleza ziara yake nchini humo na sasa amefika katika studio za marehemu Mfalme wa pop Michael Jackson.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags