01
Lamar amjibu Drake
Baada ya ukimya wa wiki kadhaa ‘rapa’ kutoka nchini Marekani Kendrick Lamar amerudi tena mjini akiwa na ngoma mpya ambayo ameitoa kwa ajili ya kumjibu Drake. Ngoma...
26
Drake aondoa ngoma aliyotumia sauti ya Tupac
Baada ya mwanasheria wa familia ya Tupac, Howard King kumpa saa 24  rapa Drake kufuta ngoma ya‘ Taylor Made Freestyle’ aliyotumia AI (akili bandia) kutengenez...
27
Mwanasheria wa P Diddy awaka matumizi ya nguvu kumkamata mteja wake
Uongozi wa P Diddy, umetoa taarifa juu ya msako uliofanywa Jumatatu, Machi 25 na  Mawakala wa Usalama wa Taifa kwenye nyumba ...
14
Aliyekuwa meneja wa Facebook akiri kutumia hela za kampuni kula bata
Aliyekuwa Meneja wa programu za Facebook, Barbara Furlow-Smiles, akiri kosa la ulaghai baada ya kuiba zaidi ya dola 4 milioni kuto...
15
Mwanasheria ataja kitakachomkuta mwakinyo, Ampa tahadhari
Wakati Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ikielekeza bondia Hassan Mwakinyo kupelekewa wito wa kufika mahakamani kupitia gazeti la Mwananchi kufuatia kesi ya madai inayomkabili, ...
05
Mwanamke aliye kula nauli ya mpenzi wake apigwa faini
Mahakama nchini #Kenya imemuadhibu mwanamke mmoja (jina limehifadhiwa) kulipa faini ya Ksh 40,000 (Sh666,165) baada ya kukutwa na hatia ya kuchukua Ksh 800 (Sh13,332) ya mpenz...
25
Justin Bieber apambana kuachana na Management yake
Msanii kutoka Marekani, Justin Bieber ameamua kuajiri mwanasheria mpya wa kumsaidia kuvunja mkataba na Management ya SB Projects inayomilikiwa na Scooter Braun. Kwa mujibu wa ...
27
Mwanasheria anayeishi kwa kupumulia mashine ya mapafu kwa zaidi ya miaka 70
Waliosema kabla hujafa hujaumbika wala hawakukosea, kwa sababu wapo watu wengi tunawafahamu walikuwa wazima lakini sasa hawana baa...
25
Mwanasheria nguli mwenye ulemavu wa mkono
Na Christina Joseph Mambo vipi watu wangu wa nguvu si mnaelewa ule msemo usemao asiyefanya kazi na asili? Basi tufahamu kwamba kazi ni muhimu. Leo kwenye upande wa kazi nimeon...
09
Trump kufikishwa tena mahakamani
Aliye kuwa Rais nchini Marekani, Donald Trump anatarajiwa kufikishwa mahakamani mjini Miami akikabiliwa na makosa saba yakiwemo ya kumiliki nyaraka za siri za serikali. Aidha ...
30
Killy: nilisaini mkataba bila mwanasheria
 Na Asha CharlesBwana bwana huko mtandaoni leo kumedamshi sio powa, msanii wa bongo fleva kutoka nchini Tanzania Killytz ameongea mazito kuhusiana na mkataba wake na lebo...
23
Aliyepigwa na Tyson Apata Mwanasheria
Waswahili wanasema ukimwa mboga wenzako wanamwaga ugali, au msemo mwingine unasema hivi kama mbwai mbwai tu  hiki ndicho kimetokea baada ya bondia maarufu duniani Mike Ty...

Latest Post