10
Kanye West atangaza kustaafu muziki
Mwanamuziki wa hip-hop kutoka nchini Marekani, Kanye West ametangaza kustaafu muziki huku akidai kuwa hana uhakika wa kufanya kitu kingine kinachohusiana na muziki. Kanye mwen...
07
John Cena atangaza kustaafu WWE
Mwanamieleka wa Marekani John Cena ametangaza kustaafu kushiriki mashindano ya World Wrestling Entertainment (WWE) usiku wa kuamkia leo. Kwa mujibu wa tovuti ya Forbes Cena am...
25
Meneja akanusha taarifa ya bondia Deontay Wilder kustaafu
Bondia Deontay Wilder bado ameendelea kuwa kimya juu ya hatma yake kwenye masumbwi tangu alipoahidi endapo atachapwa na Zhilei Zhang, nchini Saudi Arabia, atastaafu. Wilder al...
12
Rihanna afunguka kuhusu ujauzito na kustaafu muziki
Baada ya kuzuka tetesi kupitia mitandao ya kijamii kuhusiana na mwanamuziki kutoka visiwa vya Barbados, Rihanna kutarajia kupata mtoto wa tatu na mpenzi wake A$AP Rocky, msani...
03
Bakari Machumu atangaza kustaafu MCL
Baada ya miaka minne ya mafanikio ya kiuongozi akiwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Bakari Machumu ametangaza kustaafu ifikapo Agost...
04
Ozil aingia Gym baada ya kustaafu soka
Baada ya kustaafu ‘soka’ mwaka jana mchezaji #MesutOzil aliyekuwa akikipiga katika ‘timu’ ya taifa ya #Ujerumani na vilabu kama #RealMadrid na #Arsenal...
02
Lebron afikiria kustaafu kucheza mpira kikapu
Nyota wa mpira wa kikapu kutoka nchini Marekani anayekipiga NBA, LeBron James (39) ameweka wazi kuwa anampango wa kupumzika kucheza mchezo huo. LeBron ameyasema hayo wakati ak...
01
Messi azungumzia kustaafu kwake
Licha ya kuwa mchezaji wa Inter Miami Lionel Messi, atafikisha miaka 37 mwezi Juni, amefunguka kuwa atastaafu soka, muda ambao atahisi hawezi tena kufanya vizuri zaidi kwenye ...
25
John Cena na mpango wa kustaafu mieleka
Mwanamieleka na muigizaji maarufu kutoka nchini Marekani, John Cena ameweka wazi kuwa ana mpango wa kustaafu kucheza mieleka kabla hajatimiza miaka 50.Cena ameyasema hayo waka...
16
Kutana na Lammer mlemavu aliyekataa kustaafu kazi
Chef Peter Lammer ni mpishi maarufu kutoka nchini Ujerumani ambaye alipata ajali ya pikipiki mwaka 2010 akiwa na umri wa miaka 44 ambapo baada ya kupatiwa matibabu ya muda mre...
25
Cr7 afunguka muda wake wa kustaafu ‘soka’
Mchezaji nyota wa ‘klabu’ ya  #Al-Nassr, #CristianoRonaldo amesisitiza kuwa hafikirii kustaafu ‘soka’ na ataendelea kucheza siku za usoni. kauli h...
12
Pogba afichua alivyotaka kustaafu mpira
Gwiji wa mpira duniani ambaye ni kiungo wa ‘klabu’ ya Juventus, Paul Pogba amekiri kuwa alifikiria kustaafu ‘soka’ kufuatia madai ya unyang’anyi ...
24
Lebron James na mpango wa kustaafu kucheza kikapu
Katika tetesi za hapa na pale kwenye michezo inadaiwa nyota wa Los Angeles Lakers  anafikiria kustaafu baada ya timu yake kupoteza kwa michezo 4-0 dhidi ya Denver Nu...
10
Bale atangaza kustaafu soka
Gareth Frank Bale ambaye ni mchezaji anayecheza kama winga katika klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Wales, ametangaza kustaafu rasmi soka baada ya kudumu kwa miaka 17.K...

Latest Post