Ozil aingia Gym baada ya kustaafu soka

Ozil aingia Gym baada ya kustaafu soka

Baada ya kustaafu ‘soka’ mwaka jana mchezaji #MesutOzil aliyekuwa akikipiga katika ‘timu’ ya taifa ya #Ujerumani na vilabu kama #RealMadrid na #Arsenal, ameamua kuwekeza nguvu zake kwa kufanya mazoezi Gym.

Ozil mwenye umri wa mika 34 amekuwa akifuatiliwa sana na mchezaji #CristianoRonaldo kutokana na bidii yake katika mazoezi ambapo Cr7 ameripotiwa kujifunza kitu kutoka kwa Ozil kuhusiana na umuhimu wa kufanya mazoezi baada ya kustaafu ‘soka’
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags