Mwanamuziki kutoka Nigeria Davido ametangaza kutokuwepo kwenye usiku wa Tuzo za Earth Prize zinazotarajiwa kufanyika leo Capetown nchini Africa Kusini, huku akitaja sababu kuw...
Ikiwa imepita siku moja tangu mwigizaji kutoka nchini Salim Ahmedy ‘Gabo Zigamba’ kuchapisha picha kupitia ukurasa wake wa Instagram ikionesha filamu yake ya &lsqu...
‘Rapa’ kutoka Marekani, #JaRule amewakosoa wanaume wanaopendelea kuvaa jeans zilizochanika huku akidai kuwa ni mtindo wa zamani.
Kwa mujibu wa tovuti ya Daily Mail...
Kwa kawaida kicharazio maarufu ‘keyboard’ za simu janja ama kompyuta huwa na mpangilio usiofuata mtiririko, yaani haianzii A-Z badala yake herufi zimechanganyika.K...
Siku nyingine tena kwenye dondoo za mitindo na urembo. Leo tunaangalia mambo yakuzingatia wakati wa ubandikaji kucha. Ubunifu kwenye masuala ya urembo wa kucha umezidi kukua, ...
Na Aisha Lungato
Kuna uhusiano mkubwa kati ya furaha na utendani wako wa kazi, unapofurahia kazi yako unayofanya kuna uwezekano mkubwa wa wewe kuzalisha zaidi kutokana na kuwa...
Na Aisha Lungato
Ni matumaini yangu wazima wa afya, kama tulivyozungumza wiki iliyopita mwendo ni ule ule tunapeana ma-deal na tips za futari, leo tumekuja na fut...
Karibu tena katika ulimwengu wa fashion ili kufahamu yanayohusu urembo na mitindo mbalimbali ya kisasa.Leo tutazungumzia upakaji wa rangi kwenye kucha ulivyokuwa kwa kiasi kik...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #AlNassr, # Cristiano Ronald amezua mijadara kupitia mitandao ya kijamii baada ya kuonekana amepaka rangi kucha za miguu, hali iliyopelekea ...
Baada ya kufanya show katika Birthday dinner party ya mchezaji Memphis Depay, mkali wa Afrobeat, Davido amedai kuwa anadhani amechaguwa taaluma isiyofaa baada ya kuona maisha ...
#DianaArmstrong ambaye anashikilia rekodi ya dunia ya ‘Guinness World Records’ kwa kuwa mwanamke mwenye kucha ndefu zaidi ameeleza jinsi gani anajisafisha wakati a...
Dar es Salaam. Kutokana na maendeleo ya teknolojia, kumekuwa na uzalishaji wa vitu vingi vyenye kurahisisha maisha ambavyo awali havikuwepo, huku wataalamu wa masuala hayo wak...
Si jambo la kushangaza kama ukitembelea mataifa mbalimbali na kukuta magari ya kubebea wanafunzi (School Bus) yakawa na rangi ya kufanana, yaani rangi ya njano. Fahamu kuwa ra...