Davido: nafikiri nilikosea kuchagua muziki

Davido: nafikiri nilikosea kuchagua muziki

Baada ya kufanya show katika Birthday dinner party ya mchezaji Memphis Depay, mkali wa Afrobeat, Davido amedai kuwa anadhani amechaguwa taaluma isiyofaa baada ya kuona maisha halisi ya wana-soka katika Birthday party hiyo.

Davido kupitia ukurasa wake wa X (twitter zamani) ame-share ujumbe uliokuwa ukieleza “Footballers Dey enjoy ooooo … be like I chose wrong profession” akimaanisha wachezaji mpira wana-enjoy maisha hivyo anadhani alikosea kuchagua taaluma anayoifanya ambayo ni muziki.

Davido alihudhuria birthday dinner hiyo ya Depay iliyokuwa ikifanyika nchini Spain Februari 13 mwaka huu, ambapo mchezaji huyo alikuwa akitimiza miaka 30






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags