06
Gigy Money achoshwa na wanaodukua akaunti zake
Mwanamuziki wa Bongofleva, Gift Stanford ‘Gig Money’, ambaye hivi karibuni alikutana na majanga ya kudukulia akaunti yake ya YouTube akizungumza na Mwananchi Scoop...
06
Rapa T.I aponea kwenye tundu la sindano
Mwananmuziki kutoka Marekani Clifford Joseph Harris ‘T.I’ alikamatwa na polisi katika uwanja wa Ndege wa Atlanta ‘Hartsfield-Jackson’ baada ya utambuli...
23
Rashford agoma kuondoka Man United
Mshambuliaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, #MarcusRashford ameripotiwa kuweka wazi mipango yake baada ya kuwepo kwa tetesi za kuondoka katika ‘timu’...
21
Travis Scott aachiwa huru kwa dhamana
Mwanamuziki Travis Scott ameripotiwa kuachiwa huru kwa dhamana, baada ya kukamatwa siku ya Jana Alhamis asubuhi kwa kosa la ulevi kupindukia.Kwa mujibu wa tovuti ya Cnn, Travi...
10
Maafisa kuchunguza waliomfananisha Lebron na Tumbili
Maafisa elimu Marekani wameingi katika uchunguzi wa bango la ubaguzi wa rangi lililomlinganisha nyota wa NBA, LeBron James na tumbili katika tangazo la chakula cha nafaka liit...
02
Rashford aing’anga’nia Man United
Imeripotiwa kuwa mshambuliaji wa klabu ya #ManchesterUnited Marcus Rashford, hana mpango wa kutaka kuondoka katika kikosi hicho msimu ujao na amedai kuwa atapinga endapo itato...
01
Rashford, Mwanamitindo Erica wadaiwa kuwa wapenzi
Imedaiwa kuwa mchezaji wa klabu ya Manchester United, Marcus Rashford ameingia katika mahusiano na mwanamitindo kutoka nchini Colombia, Erica Correa baada ya hivi karibuni kuo...
13
Chelsea kuuza wachezaji ili kumsajili Osimhen
Imeripotiwa kuwa ‘klabu’ ya Chelsea ina mpango wa kupiga bei mastaa wake kadhaa ili kupata Euro 200 milioni ambazo itazitumia kwenye usajili wa ‘straika&rsqu...
29
Bata la disko lamponza Rashford
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, #MarcusRashford  anadaiwa kutozwa faini tsh 2 bilioni  kwa kwenda ‘disko’ siku  ya Jumapili&nb...
27
Mashabiki wa Chelsea wachukizwa na tangazo
Mashabiki wa ‘klabu’ ya Chelsea wachukizwa na kitendo cha ‘timu’ hiyo kuingia mkataba wa kuitangaza hoteli ya ‘Hilton Hotels’ baada ya kumt...
05
Mpiga picha na mwanamitindo wanaoshikiria rekodi ya kupiga picha kina kirefu
Baada ya kuvunja rekodi ya dunia ya kuwa mpiga picha maarufu chini ya maji mwaka 2021, Steven Haining sasa anadaiwa kuipiku rekodi...
09
Moto wazidi kumuwakia Sancho, Aondolewa kwenye group
Winga wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, #JadonSancho kwa upande wake mambo yanazidi kuwa makubwa kila kukicha huku muafaka baina yake na ‘kocha’ wa &lsq...
04
Daktari ashinda shindano la urembo ambalo walikatazwa kutumia make-up
Mrembo Natasha Beresford mwenye umri wa miaka 26 ambaye pia ni mtaalam wa meno ameshinda shindano la urembo la Miss London 2023 am...
28
Rashford aonesha jeuri ya pesa baada ya kupata ajali
‘Staa’ wa Manchester United Marcus Rashford baada kupata ajali akiwa anaendesha gari yake aina ya Rolls-Royce Wraith yenye thamani ya Pauni 700,000(Tsh 2.1 bilioni...

Latest Post