Bata la disko lamponza Rashford

Bata la disko lamponza Rashford

Mchezaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, #MarcusRashford  anadaiwa kutozwa faini tsh 2 bilioni  kwa kwenda ‘disko’ siku  ya Jumapili  na kukosa mazoezi , baada ya kuomba ruhusa ya ugonjwa.

Inaelezwa kuwa licha ya adhabu hiyo ‘kocha’ wa ‘timu’ hiyo Ten Hag  amesema atashughulikia suala hilo la Rashford kwa kosa la kudanganya ugonjwa na kwenda ‘disko ’ ya Thompsons Garage, Manchester, kabla ya kurudi kwenye kikosi.
.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags