06
Ten Hag ana mechi mbili tu Man United
Mchezaji wa zamani wa Newcastle United na timu ya taifa ya England, Alan Shearer amesema kocha wa Manchester United, Erik ten Hag ana michezo miwili pekee ya kuokoa kibarua ch...
29
Staa wa Man United atembelea Mikumi, Visiwa Vya Karafuu Zanzibar
Tanzania imeendelea kuwa kivutio cha watalii kuja kupumzika na kutembelea vituo vilivyopo, hii ni baada ya kiungo wa Manchester United na timu ya taifa Morocco, Sofyan Amrabat...
14
Ronaldo kupunguziwa majukumu Euro 2024
Mchezaji wa zamani wa Manchester United, Wes Brown amesema staa wa Al Nassr na Ureno ajiandae kwa majukumu tofauti na yale aliyozoea katika kikosi cha ‘timu’ ya ta...
04
Man United yawataka Cunha na Kudus kwa mpigo
‘Klabu’ ya Manchester United imepanga kutumia Pauni 60 milioni kwenye usajili wa straika wa Wolves, Matheus Cunha huku ikiweka mipango yake sawa kumnyakua pia staa...
27
Grealish anusurika kuanguka paredi ya Man City
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Manchester City, Jack Grealish anusurika kuanguka kwenye basi la wazi la Manchester City walilokuwa wakilitumia katika paredi ya kushehereke...
22
Guardiola kocha bora wa mwaka 2023/24
Kocha wa ‘Klabu’ ya Manchester City, Pep Guardiola ametangazwa kuwa ‘kocha’ bora wa mwaka katika Ligi kuu ya Uingereza kwa mwaka 2023/2024.Guardiola am...
21
Man United yaitajia Dortmund bei ya Sancho
‘Klabu’ ya Manchester United inataka walau asilimia 75 ya kiasi cha pesa ilicholipa kumnunua Jadon Sancho mwaka 2021 ikiwa ‘timu’ yoyote itataka kumsaj...
20
Kisa Klopp, Guardiola atoa machozi
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola jana alimwaga machozi baada ya kuulizwa swali kuhusu kuondoka kwa meneja wa Liverpool, Jurgen Klopp.Klopp jana aliiongoza Liverpool kwe...
04
Ten Hag bado yupo sana Man United
Kocha mkuu wa ‘klabu’ ya Manchester United, Erik ten Hag ameweka wazi kuwa bado yupo sana klabuni hapo na hana mpango wa kuondoka kwa msimu huu utakapo kwisha.Ten ...
22
Majeraha ya shaw yawa kikwazo kwa Man United
Manchester United huenda ikamkosa beki wake wa kushoto, Luke Shaw hadi mwisho wa msimu kutokana na majeraha ya misuli. Shaw alipata majeraha hayo kwenye ‘mechi’ dh...
10
Man United mbioni kufunga kamera kwenye jezi za wachezaji
‘Klabu’ ya Manchester United imepanga kuwawekea wachezaji wao ‘kamera’ katika ‘jezi’ wakati wa ‘mechi’ kwa lengo la kuruhusu ma...
29
Bata la disko lamponza Rashford
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, #MarcusRashford  anadaiwa kutozwa faini tsh 2 bilioni  kwa kwenda ‘disko’ siku  ya Jumapili&nb...
11
Sancho atambulishwa Dortmund
Baada ya kuzuka tetesi kuhusiana na mchezaji wa Manchester United, Jadon Sancho kurudi kwenye ‘timu’ yake ya zamani kwa mkopo hatimaye ‘klabu’ hiyo ya ...
06
Sancho kurudi kwa mkopo Borussia Dortmund
‘Klabu’ ya Borussia Dortmund ipo kwenye mchakato ya kuwania saini ya nyota wake wa zamani Jadon Sancho anayeichezea Manchester United.#Sancho (23) amekuwa na wakat...

Latest Post