Ten Hag bado yupo sana Man United

Ten Hag bado yupo sana Man United

Kocha mkuu wa ‘klabu’ ya Manchester United, Erik ten Hag ameweka wazi kuwa bado yupo sana klabuni hapo na hana mpango wa kuondoka kwa msimu huu utakapo kwisha.

Ten Hag ameyasema hayo wakati akiwa kwenye mahojiano yake na #Viaplay ambapo ameeleza kuwa ataendelea kusalia #ManUnited akiwa kama kocha mkuu kwani hivi karibuni alisha saini mkataba mpya.

Pia ‘kocha’ huyo alikanusha uvumi kuhusiana na yeye kwenda katika ‘klabu’ yake ya zamani ya #AjaxFC, ambapo alieleza kuwa hajafanya mazungumzo yoyote na ‘timu’ hiyo na endapo atataka kurudi basi atarejea klabuni hapo baadaye sana.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags