Grealish anusurika kuanguka paredi ya Man City

Grealish anusurika kuanguka paredi ya Man City

Mchezaji wa ‘klabu’ ya Manchester City, Jack Grealish anusurika kuanguka kwenye basi la wazi la Manchester City walilokuwa wakilitumia katika paredi ya kusheherekea ubingwa, tukio hilo lilitokea siku ya jana Jumapili mchana.

Katika sherehe hizo Grealish aliripotiwa kutumia kiasi kingi cha pombe ambacho kilipelekea kukosa balance, huku akisaidiwa na mchezaji mwenzake Jeremy Doku ili asiweze kuanguka.

Wafanyakazi, wachezaji na benchi la ufundi la Man City siku ya jana Jumapili, Mei 26 waliandaa paredi ya kusheherekea ubingwa wao wa nne mfululizo katika michuano ya Premier League.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags