Majeraha ya shaw yawa kikwazo kwa Man United

Majeraha ya shaw yawa kikwazo kwa Man United

Manchester United huenda ikamkosa beki wake wa kushoto, Luke Shaw hadi mwisho wa msimu kutokana na majeraha ya misuli. Shaw alipata majeraha hayo kwenye ‘mechi’ dhidi ya Luton FC wakati Man United ikipata ushindi wa mabao 2-1 mwishoni mwa wiki iliyopita.

Ukiachilia mbali kumkosa beki huyo pia ‘klabu’ hiyo huenda ikawakosa nyota kadhaa kutokana na majeraha akiwemo Lisandro Martinez na Tyrell Malacia.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags