Kupitia ukurasa wa Instagram wa Toffolo ali-share video akiwa Uwanja wa ‘Stamford Bridge’ wakati wa ‘mechi’ ya Wanawake kati ya Chelsea dhidi ya Manchester United, kufuatiwa na tukio hilo wadau na mashabiki walichukiza na kitanda hicho kuwepo uwanjani.

Ambapo wali-komenti kupitia video hiyo wakieleza kuwa kitendo hicho sio sawa kwa watu masikini, hivyo basi kuweka kitanda uwanjani ni kuuaibisha mpira wa miguu.
Leave a Reply