Aisee mambo ni moto mambo ni fire hivyo ndivyo naweza kusema siku ya leo bwana nikwambie tu kutoka kwenye ukurasa wa Twitter wa muigizaji Batuliactresstz ameandika hivi.
&ldqu...
Weekend hiyo inanukia kama kawaida ndugu zangu wa urembo na fashion leo bwana time kujua na tatizo ambalo linawaumiza vichwa ndugu ze tu nalo ni Weusi kwenye ngozi...
Mr PKP Ommy Dimpoz 'is back' baada ya ukimya wa miezi 11, tegemea kazi yake mpya akishirikiana na fundi wa muziki Africa Fally Ipupa kutoka nchini Congo DR...
Ilikuwa ni mwaka 1999 baada ya kumaliza masomo yangu ya kidato cha nne na kuangukia pua ndipo nilipokuja mjini na kufikia kwa shangazi yangu maeneo ya Temeke Mikoroshini Kwa M...
Msanii wa Muziki nchini Tanzania, Ali Kiba maarufu kama Alikiba ametangaza rasmi kuanza tour yake aliyoipa jina la Only one King ambapo kwa mara ya kwanza itazinduliwa mkoani ...
Moja kati ya story kubwa huko mitandaoni ni ya msanii wa muziki kutokea Nigeria, Wizkid kutajwa kwenye tuzo kubwa duniani katika vipendele viwili tofauti.
Kipendele cha kwanza...
Changamoto ya ajira ni kilio cha dunia nzima hususan kwa vijana ambao wengi hujikuta wakizurura mitaani au kuzungunga na vyetu vyao wakisaka ajira ambazo zinazidi kuwa finyu k...
Msanii wa muziki nchini Tanzania na mfanyabishara, Shilole maarufu kama Shishi amejibu tetesi zinazoendelea mitandaoni zimhusisha kuwa ni mjamzito.
Shilole amethibitisha kuwa ...
Msanii kutokea nchini Marekani, Saweetie amefunguka na kusema anatamani kuwa na mtoto na kuitwa mama kwa sasa kwakuwa anaona umri wa kupata mtoto umefika.
Mwanadada huyo amefu...
Msanii kutoka nchini Nigeria David Adedeji maarufu Davido amekuwa na Moyo wa kusaidia na kurudisha kwa Jamii kwani ametangaza kutoa Msaada kwa wenye uhitaji ikiwemo wato...
Ni wasaa mwingine tena mzuri aliyoupanga mwenyezi Mungu kutukutanisha pamoja katika dondoo hii ya karia ili tuweze kujifunza mambo mbalimbali.
Hii ni fursa nyingine ambayo una...
Kwa wastani binadamu anatumia miezi (5) mitano ya maisha yake kushave na ndani ya miezi hiyo mitano kwa mwanaume atashave mara elfu 20,000 katika muda wa maisha yake yote.Baad...
Ohooo!! Nikwambie tu wakili anayewawakilisha zaidi ya Watu 200 wanaodaiwa kuwa ni Waathirika wa Tamasha Astroworld amefungua Kesa ya Madai ya Dola za Kimarekani Bilioni ...