Julia Fox anogewa na penzi la Kanye

Julia Fox anogewa na penzi la Kanye

Unaambiwa mapenzi hayajaribiwi kabisa, mtoto Julia Fox kama alinogewa na penzi la Kanye West 'Ye' baada ya kusema kudate na staa huyo wa muziki lilikuwa ni jambo bora kuwahi kutokea kwake.

Kwa mujibu wa Page Six Julia Fox anasema "Ilikuwa kitu bora ambacho hakijawahi kutokea kwangu, ilirudisha cheche katika maisha yangu ambayo nilikuwa nimeisahau".

Wawili hao kwa sasa hawapo tena kwenye mahusiano baada ya kuachana mwanzoni mwa mwezi Februari mwaka huu.

Tuambie msomaji wetu na wewe unatamani mastaa gani hapa nchini warudiane au unanogewa na penzi la wasanii gani.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags