03
Kendrick namba 2 wasanii bora wa hip-hop
Jarida la Forbes limetoa orodha ya wasanii bora wa hip-hop wa muda wote huku jina la Kendrick likitokea kama msanii wa pili kwenye orodha hiyo.Orodha hiyo ambayo ilikuwa imesh...
16
Kanye West akabiliwa na mashtaka ya unyanyasaji
Mwanamuziki kutoka Marekani Kanye West anakabiliwa na madai ya kumfanyia unyanyasaji wa kijinsia aliyekuwa meneja wake aitwaye Murphy Aficionado kwa kumtumia picha za utupu za...
09
Hawa ndio mastaa wanaokimbiza Spotify
Na Asma Hamis Mwaka 2024 umeleta mafanikio makubwa kwa wanamuziki wengi wa rap duniani, huku baadhi yao wakivunja rekodi za kusikilizwa zaidi kwenye mtandao wa Spotify.Wa...
08
Kanye ajitetea kuhusu Wayahudi
Mwanamuziki Kanye West amefunguka kuwa wakati anatoa kauli za chuki dhidi ya Wayahudi alikuwa amelewa.Kanye ameyasema hayo alipokuwa kwenye mahojiano na mwanadada Candace Owen...
10
Kanye West atangaza kustaafu muziki
Mwanamuziki wa hip-hop kutoka nchini Marekani, Kanye West ametangaza kustaafu muziki huku akidai kuwa hana uhakika wa kufanya kitu kingine kinachohusiana na muziki. Kanye mwen...
30
Kanye West aomba msaada kwa Kim Kardashian
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #KanyeWest ameomba msaada kwa aliyekuwa mke wake #KimKardashian baada ya kutokuwa na maelewana na kampuni ya Adidas. Imeripotiwa kuwa msani...
11
Vazi la heshima alilovaa mke wa Kanye West lageuka gumzo
Mke wa mwanamuziki kutoka Marekani #KanyeWest #BiancaSensori amewashangaza wengi baada ya kuvaa vazi la heshima akiwa matembezi na mumewe nchini Japan. Vazi alilovaa Bianca nd...
10
Mashemeji wacharuka, Wadai kanye anamchukulia mkewe kama mradi
Baada ya mwanamuziki KanyeWest na mkewe Bianca Censori kutokuwa kwenye maelewano mazuri kwa hivi karibuni, marafiki wa mwanamke huyo wanadai kuwa Kanye anamchukulia mkwewe kam...
23
Kanye amtamani mke wa Obama
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #KanyeWest amefunguka kutamani kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mke wa aliyekuwa Raisi nchini humo Baraka Obama, Michelle Obama....
23
Kanye na Drake warudisha bifu lao
Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu wanamuziki kutoka nchini Marekani #KanyeWest na #Drake wamerudisha tena bifu lao baada ya Kanye kudai kuwa ‘rapa’ huyo amekabid...
18
Kanye kuchunguzwa na Polisi
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Kanye West ameripotiwa kuchunguzwa na polisi wa LAPD kufuatia tukio lililotokea usiku wa Jumanne baada ya mwanaume mmoja kudaiwa kums...
09
Ratiba ya Kanye kuja Afrika imekuwa tofauti
Baada ya kutangaza kurudi tena Africa kwa ajili ya kusikiliza album yake iitwayo ‘Velturels’, uongozi wa mwanamuziki Kanye West umetoa taarifa nyingine ikieleza ku...
03
Kanye ashitakiwa kwa unyanyasaji
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #KanyeWest amefunguliwa mashitaka na aliyekuwa mfanyakazi wake wa zamani katika shule yake ya ‘Donda’ iliyopo Los Angeles...
20
Ice Spice akataa kufanya kolabo na Kanye
Baada ya mwanamuziki Nicki Minaji kukataa kuingiza verse kwenye ngoma ya Kanye West iitwayo ‘New Body’, na sasa ni zamu ya ‘rapa’ Ice Spice naye amerip...

Latest Post