Yees!! Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa official chidibeenz ameamua kutoka na ujumbe hii ikiwa leo ni ijumaa tunaweza kusema ujumbe wa kuianza wikiendi.
Ameandika h...
Ebwana eeh!! Rapa kutoka nchini Marekani Adolph Robert Thornton maarufu Young Dolph mwenye umri wa miaka 36 ameuawa Kwa Kupigwa Risasi Mtaani Kwake Memphis wakati ...
Aiseee!! Waswahili wanasema ndugu wakigombnaaa shika jembe ukalime haya bwana yamedhihirika baada ya takribani miaka mitano ya kutokuwa sawa kwa kundi la P SQUARE.
Nikwambie t...
Nilikuwa nina kama miezi mitatu tangu kuoa kwangu. Ilikuwani Juni 1995. Mke wangu alikuwa akiniamini sana na hata wazazi wake, hasa mama yake, kwani alinifundisha shule ya msi...
Msanii wa muziki nchini Rajab Abdul maarufu kama Harmonize amemtambulisha mpenzi wake mpya aliyefahamika kwa jina la Briana.
Katika ukurasa wake wa Instagram Harmonize amethib...
Msanii wa filamu nchini, Yusuph Mlela ‘Mlelando’ amezindua duka la IceCream na kufagilia tuzo za filamu nchini kwa kusema uwepo wake utasaidia kurudisha hali na mo...
Msanii wa filamu nchini, Yusuph Mlela ‘Mlelando’ amezindua duka la IceCream na kufagilia tuzo za filamu nchini kwa kusema uwepo wake utasaidia kurudisha hali na mo...
Aiseee hii ni kubwa kuliko bwana ambapo Mrembo Jackie Cliff amethibitisha mwenyewe kutoka Jela baada ya kukaa kwa muda wa miaka 8.
Mrembo huyo kupitia Ukurasa wake...
Na Aisha Lungato
Mambo vipi wanangu wa mwananchi scoop natumaio mko good, Leo bwana katika listi tunakuletea mwanakaka ambae ameshikiria rekodi ya dunia ya Guuinnes kwa kuwa n...
Leo katika Karia tunazo funguo za kukusaidia wewe Mwanachuo kupata maarifa watakayokufanya ufanikiwe kimaisha pindi bado upo chuoni.
Nikuweke wazi tu kwamba unaweza kufanikiwa...
Usiku wa kuamkia leo msanii wa muziki kutoka Tanzania Rayvanny ameandika historia kwa kupanda kwenye jukwaa la MTV EMA kwa mara ya kwanza na kufanya shoo.
Rayvanny amekuwa msa...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Rajab Abdul maarufu kama Harmonize ametoa ujumbe tata katika ukurasa wake ya Instagram kitendo ambacho kimetafsiriwa huwenda kuna mtu anamjibu...
Ebwana eeeh!!! It's furahi day kama kawa kama dawa popote pale ulipo mwanafunzi wa chuo, hope uko poa kabisa.
Leo kwenye makala za burudani na michezo utafahamu kuhusian...
Habari msomaji wetu wa mambo ya fashion, ni siku nyingine tena tunakutaka hapa ili kuweza kujuzana mambo mbalimbali kuhusiana na masuala mitindo, urembo na mavazi ambayo najua...