Alikiba, Shilole wamaliza tofauti zao

Alikiba, Shilole wamaliza tofauti zao

Wanasema wagombanao ndio wapatanao, hilo limetokea kwa msanii Alikiba na Shilole kuwa na tofauti na kurushiana maneno kwenye interview na mitandaoni kuhusu mualiko kwenye uzinduzi wa Album ya Alikiba.

Kinachoendelea kwa wasanii hao ni amani na upendo, wamekubali kumaliza tofauti zao baada ya Alikiba kumpandisha kwenye stage Shilole kuimba na kucheza pamoja.

Kwenye video Shilole anaseema "Tunaishi kwa kusapotiana, Alikiba namkubali, ila twende tukawatoe watu utata ulisema hukunialika na Alikiba alikubali kwamba amemualika".

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags