Rapa kutoka nchini Marekani Casanova mwishoni mwa mwaka 2020 alikamatwa kwa Tuhuma za kujihusisha na genge la kihalifu liitwalo, Untouchable Gorilla Stone Nation, ...
Aliyekuwa Mtangazaji wa kipindi cha Lovers Rock cha EATV, Baba T, amefariki dunia leo katika Hospitali ya Rabininsia iliyopo Tegeta jijini Dar es Salaam.
Rafiki wa karibu na m...
Hivi sasa kumekuwa na fikra potofu katika jamii za kiafrika kuwa mboga za majini ni kwa ajili ya maskini tu.
Watu wengi hasa huko mitaani ili waonekana wanafedha za kutosha ba...
Msanii Otile Brown kutoka nchini Kenya, amedai kuchukuliwa melody zake za wimbo wa 'baby love' kutumika kwenye wimbo mpya wa Mbosso na Zuchu uitwao 'For your love'
Otile Brown...
Aisee Rapper kutoka nchini Marekani 21 Savage amesema kuwa Jay Z alimsaidia katika kupata Mwanasheria Bora Kwenye Kesi Yake Lakini Hakutaka Malipo Yoyote Zaidi Ya y...
Uwepo wa mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia kumechangia mambo mengi sana kukua kwa kasi hapa duniani, nafikiri hili limedhihirika hata kwako wewe ambaye unasoma makala haya a...
Msanii Chipukizi na mwanamitindo kutoka nchini Tanzania, Regina Kihwele maarufu kama Gynah ameibuka mshindi wa muigizaji bora kike kwenye tuzo za Lake International Pan Africa...
Aiseee unaambiwa mambo ni moto mambo ni firee bwana kwani msanii kutoka nchini Marekani Chris Brown ameamua kutangaza mwenyewe kuja na Bites yaani Vitafunwa vyake Breezy Cosmi...
Unaambiwa bwana msanii kutoka nchini Marekani Kanye West ameamua Kuweka Masuala Ya Bifu Pembeni Kati yake na Drake na kwa sasa Amemualika Drake waungane Ku-Perform Pamoja Albu...
Msanii wa muziki nchini Tanzania Rayvanny anakuwa msanii wa pekee kutoka Afrika ambaye amechaguliwa kupiuga show kwenye stage ya tuzo kubwa duniani za MTV EMA mwaka huu zinazo...
Aiseee!! Wacha kabisaa wewe ukisikia mambo mazuri mambo matamu ndiyo hayo sasa this week kwenye Nipe dili nimekuletea jinsi ya kupika baga ya nyama ya ng’ombe unajua kua...
Mwanamuziki na mwanamitindo kutoka nchini Tanzania, Regina Kihwele maarufu kama Gynah ameibuka mshindi wa muigizaji bora kike kwenye tuzo za Lake International Pan African Fil...
Ebwana mambo vipi? It’s Monday mtu wangu kama kawaida hua tunatembea na zile makala za kazi, ujuzi na maarifa ili kuhakikisha siku yako unajipanga vyema ndani ya mwanzo ...
Baada ya hivi karibuni Msanii kutoka nchini Marekani Kanye West kusema anajuta kumsaini katika label yake msanii Big Sean, unaambiwa Sean amedai kuwa anamdai Rapa huyo zaidi y...