04
Unaujua ubinafsi usio wa kawaida
Kila mtu ana tabia tofauti za ubinafsi. Tabia hizo ndizo ambazo mtu anavyofikira na kutenda kawaida, zinazomtofautisha yeye na  wengine. Tabia za mtu hugeuka na kuwa ubin...
04
Maajabu wa Tango katika kupambana na maradhi
Siku zote mwili wa binadamu ili uweze kuwa katika afya nzuri unahitaji virutubisho mbalimbali ambavyo vinapatikana katika vyakula tunavyokula kila siku. Pale mwili unapokosa v...
04
Wahitimu NIT washauriwa kutengeneza ajira, kujiajiri
Katika kuhakikisha kunakuwepo na ongezeko kubwa la watu wanaojiajiri, Wahitimu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) wameshauriwa kutumia ubunifu na maarifa waliyoyapata ku...
04
Mfumo wa kukata tiketi za mabasi ya abiria kwa njia ya mtandao wazinduliwa
Watanzania hasa wale wanaotumia usafiri wa mabasi ya abiria wametakiwa kununua tikiti za mabasi hayo ya nchi kavu mtandaoni, kupit...
03
Namna ya kutunza natural hair
Mambo vip natumai ni wa zima wa afya leo bwana kwenye fashooon nimekuja kuzungumza na wale wenzangu namimi tusiopenda kuweka dawa na kufahamu/kujua nijinsi gani tunaweka nywel...
03
Diamond ashika namba 1 Tanzania
Msanii wa muziki nchini Tanzania, Nasibu Abdul maarufu kama Diamond Platnumz ametajwa kuwa msanii namba moja Tanzania aliyesikilizwa zaidi katika mtandao wa Spotify kwa mwaka ...
04
Kongamano la data kuanza rasmi desemba 6
Eeh bwana eeh!!  moja kati ya stori ambayo inakuhusu wewe kijana na mdau wa mwananchi scoop ni hii hapa ambapo Taasisi ya Tanzania Data lab(dlab) kwa kushirikiana Mwananc...
02
Wanawake watakiwa kuendelea kukataa vitendo vya ukatili wa kijinsia vinavyofanywa dhidi yao na watoto
Wanawake nchini wametakiwa kuendelea kuchukua jukumu la kuongelea na kukataa vitendo vya ukatili wa kijinsia vinavyofanywa dhidi y...
01
Chris Brown amfagilia Wizkid
Msanii kutokea nchini Marekani Chris Brown ameonesha kufurahishwa na hatua ambazo anaendelea kuzipiga msanii kutokea pande za Nigeria Wizkid katika muziki wake. Usiku wa kuamk...
01
Shamsa: Usione aibu kupoteza marafiki
Msanii wa filamu nchini, Shamsa Ford ametoa ujumbe mzito kwa kuwataka watu wasiogope kuwapoteza marafiki ambao hawaongezi tija kwenye maisha yao. Shamsa ametoa ujumbe huo kupi...
01
GOBYNDEVU: Muuzaji wa bidhaa za kiume anayejivunia katika ubunifu
Na Habiba Mohamed Ukisubiri upate mtaji wa rasilimali fedha, ndipo uanze kufanya biashara basi unaweza kuchelewa sana au kutofanya kabisa. Biashara nyingi sio mpya, nyingi ni ...
29
Hamad Mkoka (ITA)
Name; Hamad Ramadhan Mkoka University; Institute of Tax Management (ITA) Position; student Course; Bachelor of customs and tax management(BCTM) Year of study;Second year Favou...
29
jinsi ya kuongeza ufanisi katika kazi
Mambo vipi kijana mwenzangu? Karibu kwenye jarida lako pendwa ambapo kama kawaida jumatatu ni siku ya makala za kazi, ujuzi na maarifa hapa utapata fursa ya kujifunza mambo mb...
29
Stamina aachia album yake
Star Wa HipHop Nchini Staminashorwebwenzi unaambiwa ameamua kuachia rasmi Album yake Mpya ianyotambulika kwa jina la  - PARADISO. Kupitia Ukurasa wake wa Instagram ameth...

Latest Post