Tunda, Whozu mahaba mazito

Tunda, Whozu mahaba mazito

Aachwi mtu hapa, hivyo ndivyo unaweza kusema baada ya mwanadada Cappuccino Tunda kuzima story za mitandaoni zilizosemekana ameachana na Whozu baada ya kumpost 'baby dady' wake huyo na kumwambia anampenda sana na ni mtu special kwenye moyo wake.

Tunda amemuandikia ujumbe huo Whozu kwenye siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake.

"Happy Birthday baba Lola, Mwenyenzi Mungu akaendelee kukubariki na kukupa umri mrefu zaidi, binafsi nakupenda sana na unajua una nafasi yako special kwenye moyo wangu. Nakupenda bigt ime baby daddy".ameandika Tunda

Kwa sasa Whozu na Tunda wana mtoto mmoja wa kike anayeitwa 'Lola'.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags