Sallam Sk: Naomba nitan gaze kustaafu

Sallam Sk: Naomba nitan gaze kustaafu

Meneja Sallam SK ameomba kustaafu mziki kama watu walimwengu watamruhusu kwa sababu alipewa nyimbo 40 kwenye EP ya FOA ya Diamond Platnumz na yeye amechagua nyimbo 10 tu na kuziacha 30.

Kupitia page yake ya Instagram na Twitter Sallam SK ameandika kwamba

"Naomba nitangaze kustaafu kama mtaniruhsu, nilipewa nyimbo 40 nimechagua 10 bado 30".

EP ya Diamond Platnumz imeachiwa rasmi siku ya jana ikiwa na nyimbo 10 huku akishirikisha wasanii kama Zuchu, Mbosso, Adekunle Gold, Jaywillz, Focalistic, Costa Titch, na Pabi Cooper.

Aiseee mambo ni moto mambo ni fireeee dondosha comment yako hapo chini kuhusiana na Ep iliyotoka mdau wangu.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags