Aiseee kimeumana!! unaambiwa baada ya comments nyingi za mashabiki mitandaoni kumtaka msanii wa muziki na Filamu Zuwena Mohamed maarufu kama Shilole apunguze mwili...
Natumaini u mzima wa afya msomaji wa mwannachiscoop, na unaendelea vema n amajukumu yako ya kila siku ikiwemo masomo.
Najua tunaelekea mwisho wa mwaka na wanafunzi wengi wanam...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Rajabu Abdul maarufu kama Harmonize ameonyesha kutokubaliana na utezi wake wa kuwa mmoja ya wasanii wanaowania tuzo mbalimbali nje ya ...
Rapa Tory Lanez anatakiwa kufika mahakamani Desemba 14, mwaka huu kwa ajili ya kutoa ushuhuda wa tukio lake la kumshambulia kwa risasi mbili mguu mwanadada Theestallion.
Rapa ...
Baada ya kufungua akaunti ya Instagram na kupata followers zaidi ya Milioni 1.3 ndani ya masaa tatu, rapa kutokea nchini Marekani Jay –Z ameamua kuifunga akaunti yake hi...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Best Naso amefunguka na kueleza chanzo cha yeye kuzushiwa kifo hivi kariubuni.
Msanii huyo alisema kwamba taarifa za kuzushiwa...
Unaambiwa hii inaweza kuwa rekodi nyingine kutoka kwa Rapa wa nchini Marekani Jay-Z kupata followers Milioni moja katika mtandao wa kijamii wa Instagram ndani ya masaa matatu....
Na Aisha Lungato
Ndizi ni moja ya chakula kinachopendwa sana na watu wengi, lakini kwa hapa nchini chakula hiki huongoza kwa kuliwa zaidi na watu wa kabila la Wahaya kutoka mk...
Ohooo!! Mambo yametaradadi bwana unaambiwa Kim Kadashian inasemekana kuwa huenda akawa ameingia penzini na Mchekeshaj maarufu Pete Davison ambaye anatokea kule nchini Marekani...
Popo mmoja ametajwa kuwa ndiye ndege wa mwaka wa New Zealand, katika hali ya kutatanisha ambayo imesababisha lalama kali mitandaoni nchini humo.
Popo mwenye mkia mrefu alikuwa...
Kila mmoja anajua kinachoendelea mitandaoni kati ya Alikiba na Shilole baada ya Kiba kusema hakumualika Shilole kwenye uzinduzi wa Album yake.
Shilole hakukaa kimya alikuja ju...
Moja kati ya stori ambayo imebamba mitandaoni ni hii hapa kuhusiana na Rapa kutoka nchini Marekani 21Savage bwana unaambiwa anataka kujenga shule.
Taarifa hiyo bwana ime...
Umewekeza katika elimu yako, una kila sifa ya kupata kazi fulani lakini hupati kazi hiyo, inawezekana kabisa moja ya sababu inayokukwamisha ni kutokujua kuandika barua ya maom...