Joh Makini muda umewadia

Joh Makini muda umewadia

Mambo vipi mtu wangu, ihope uko pouwa kabisa leo nimekuletea hili kwenye Nyanja ya burudani tegemea kukutana na ngoma mpya  kutoka kwa Rapper  John Simon maarufu Johmakini.

Yap mapema kabisa na hii imekuja baada ya siku ya jana kuposti kipande cha wimbo wake na kuandika ujumbe huu hapa

It's about time! Naam vitu flani vilivyokuwa mbele ya muda  ViburiFlowFNyeusi Subscribe my YouTube channel''

Ebwanaa kwa mashabiki zake unaweza ukatuambia ni ngoma unaikubali zaidi kwa msanii huyu? Tupia comment yako kupitia www.mwananchiscoop.co.tz






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags