Qchief: Mmemaliza kuachia ngoma

Qchief: Mmemaliza kuachia ngoma

Ebwana kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Msanii wa muziki wa bongo fleva Qchief wenyewe watoto wa mjini wanakwambia kwenye game kitambo ameandika ujumbe mfupi ikiwa ni ishara ya kuwa huenda akaachia ngoma yake mpya. 

Qchief ameandika ujumbe huu "Mshamaliza kuachia ngoma zenu wadogo zangu always lv u''

Aisee kwa ujumbe huu alioutoa Qchief je ni ngoma gani ambayo unaikubli sana kutoka kwake? Dondosha comment yako hapo www.mwananchiscoop.co.tz.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags