Msanii wa muziki nchini Tanzania ambaye kwa sasa anaishi huko Marekani, Vanessa Mdee ameweka wazi kuwa anatamani kuongeza mtoto wa pili siku za hivi karibuni.
Hiyo imekuja baa...
Niaje bhana! Karibu kwenye ukurasa wa Smartphone ikiwa ni Jumatano, tulivu kabisa huku mvua ikiwa inapigapiga katika baadhi ya maeneo jijini Dar es salaam, direct tutakwenda k...
Aisee moja kati ya taarifa zilizopo bwana ni hii hapa, Polisi ametoa ushuhuda mahakamani kwamba Tory lanez alikuwa akitamka Kauli Chafu "dance b***h, dance" kabla ha...
Moja kati ya taarifa ambayo imezagaa kwenye mitandao ya kijamii ni kusambaa kwa video inayomuonyesha msanii wa singeli MejaKunta akiwa chini ya ulinzi wa Jeshi la polisi.
Nikw...
Leo katika Karia tunazo funguo za kukusaidia wewe Mwanachuo kupata maarifa watakayokufanya ufanikiwe kimaisha pindi bado upo chuoni.
Nikuweke wazi tu kwamba unaweza kufanikiwa...
Moja ya story nyingine huko kwenye mitandao ni ya msanii kutokea Marekani, Chris Brown huwenda anatarajia kupata mtoto wake wa tatu.
Hiyo ni baada ya EX Girlfriend wake mwanam...
Moja ya story inayobamba katika mitandao ya kijamii ni hii ya Msanii wa Filamu kutokea nchini Marekani Will Smith kuja nchini Tanzania kimya kimya.
Unaambiwa kwa mara nyingine...
Niaje mtu wangu!! leo kwenye makala ya kazi, ujuzi na maarifa nimekuzogezea mbinu ambazo zinaweza kukusaidia kuongeza ubunifu katika kazi yako.
Twende sawa njia hizi kila mtu ...
Naibu Waziri Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara amewataka wanafunzi kuwa wabunifu na kusoma kwa bidii ili wanapomaliza masomo yao waweze kuwa na maarifa na ujuzi wa k...
Aisee moja kati ya habari njema huko mitandaoni ni hii hapa bwana ambapo kaa kwa kutulia na tegemea kukutana na kichupa kipya kutoka kwa Msanii Mb Dogg master Siku Za Hivi Kar...
Ohooo!! Hii hapa bwana unajua kuwa Mwanamziki Kanye West anapigiwa chapuo kurithi nafasi ya marehemu Virgil Abloh ya kuwa mbunifu mkuu wa mavazi ya kiume katika ka...
Hellow! Katika miaka ya hivi karibuni, uvaaji wa wigi umekuwa fasheni katika sekta ya urembo na hutumika hususani na wanawake. Ingawa uvaaji wa wigi huwafanya wanawake hao kuo...