Faru Rajabu afariki dunia

Faru Rajabu Afariki Dunia

Faru Rajabu, aliyekuwa mtoto wa Faru maarufu kama Faru Juma, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo kutokana ana sababu za uzee, katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.

Kwa mujibu ya taarifa kutoka kwa TANAPA, kwenda kwa vyombo vya Habari, Faru huyo alifariki akiwa na umri wa miaka 43.

Wastani wa maisha ya faru weusi ni kati ya miaka 35 hadi 40.

Faru Rajabu alizaliwa eneo la Ngorongoro mwakak 1979 na mnamo mwaka 1993 alihamia katika Hifadhi ya Taifa Serengeti.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post