Katoto Paschalina (UDSM): Biashara ya nguo za mitumba imebadili maisha yangu

Mavazi ni mojawapo ya mahitaji muhimu ya binadamu. Uwezi kutembea barabarani na ukamkuta mtu ajavaa nguo na kama itatokea uwenda mtu huyo anatatizo la akili.

Hata hivyo kutokana na umuhimu wa mavazi umefanya biashara ya uuzaji wa nguo kukua kwa kasi nchini huku nguo za mitunda kuonekana kupendwa na wengi na zaidi inaelezwa kuwa zinafaida.

Katoto Paschalina huyu ni mwananfuzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) anayechukua degree ya Bachelor of Arts in Kiswahili.

Mwanadada huyu ameaona fursa na kuamua kuanza kufanya biashara ya kuuza nguo za mtumba na mikoba ya mtumba.

Akizungumza na mwananchiScoop, Katoto ambaye anafahamika pia kwa jina la Katoto The Brand OutfitTz anasema biashara yake hiyo inamsaidia kujipatia mahitaji ya chuoni kama vile nauli, kutoa copy na mahitaji mengine.

“Kwa sababu sina mkopo hivyo biashara hii pia inanisaidia kutimiza mahitaji yangu mengine binafsi na familia yangu,” anasema.

Hata hivyo anasema kabla yakuanza biashara ya nguo alikua anatengeneza sabuni ya maji ambayo ilimuhitaji awe na muda mwingi zaidi wa kutembea sehemu mbalimbali kujifunza.

“Sehemu hizo ambazo nilitakiwa kuzitembelea ni madukani na sokoni hivyo biashara hii haikua rafiki kwangu kutokana na muda wangu wa masomo,” anasema

Anasema katika kutafuta biashara nyingine, siku moja rafiki yake alimuomba ampeleke wanapouza nguo za mtumba kwani apajui ndipo wazo la kufanya biashara ya mitumba likamjia.

“Nilianza kufanya utafiti je nikifanya biashara hii nitapata wateja? Je wateja wangu wakubwa watakua wakina nani? Je watanunua? Haya ni maswali ambayo nilikuwa najiuliza lakini nilipata jibu kuwa sio wote ambao wanapenda wanapajua wanapouza mitumba kwasababu wengine si wenyeji wa Dar-es-salaam.

“Pia si wote wanaoweza kuchagua nguo nzuri, si wote wanaopata muda wa kwenda mitumbani kuchagua nguo, wengine wakiona nguo ni nzuri hata kama wanajua zinapouzwa wananunua, pia nikaona wanafunzi wanapenda kuvaa vizuri hivyo nikaona biashara ya kuuza nguo na mikoba itanifaa zaidi ndipo niliamua kuanza kufanya na naendelea nayo hadi leo,” anasema

Changamoto anazokumbana nazo

Anasema anakumbana na changamoto nyingi katika biashara yake na hiyo ni kwasababu anauzia online hivyo ukutana na mteja anachagua nguo kisha baadae ang’aili kuichukua.

“Unapata mteja lakini baadae anasema sichukui tena wakati huo umeshasema nguo imeshauzwa kwa wateja wengine ambao walichagua, hivyo inakua ngumu kusema tena ipo,” anasema na kuongeza

“Changamoto nyingine ni nguo moja kuchaguliwa na wateja zaidi ya watatu kwa wakati mmoja hivyo unaniwiya vigumu kuchagua nani apate na wote wanahitaji, pia ipo changamoto ya wateja kuweka oda ya nguo nyingi alafu baadae achukui hata moja,” anasema

Aidha Katoto anasema biashara yake hiyo imemsaidia kujulikana na kupata wateja wengi.

“Pia nimeweza kununua shamba ambalo kwa sasa nafanya kilimo cha nyanya, pia kupata mtaji wa kufuga kuku, hivyo naweza kusema biashara ya nguo imebadili maisha yangu,” anasema.

Ushauri

Anasema anapenda kuwashauri vijana wenzake wajitume na kufanya kazi na biashara kwani zitawasaidia kujikwamua kwenye umaskini na kujiepusha na biashara haramu ambazo hazistahili kufanywa.

“Pamoja na kutoa ushauri huo mimi kitu kingine nachokipenda kufanya ni kushona nguo na mapambo ya ndani na natamani kuwa kama Mustafa Hassanal.

“Nataka kuwa kama Mustafa Hassanal kwasababu anafanya kitu ambacho nakipenda sana pia namimi ninaweza kukifanya, napenda ubunifu sana,” anasema

Katoto ni mwanafunzi na huko katika mtandao wa Instagram anatumia jina la ‘Katoto The Brand OutfitTz’ namba yake ni

WhatsApp: 0623738158

Nduka lake la nguo lipo Tegeta Nyuki

Comments 50

  • Awesome Image
    Mpili

    Kwakweli kijana huyu ni mfano mzuri wa kuigwa na vijana wengine, kwani elimu si lazima uajiriwe :bali ni daraja la kupitisha maarifa yanayotusababisha baadae tubadili mawazo yetu kuwa yenye tija na manufaa zaidi katika jamii zetu. Aidha kutazamia fursa mbali mbali tunazoziona kupitia elimu tuliyoipata . Nimependa sana uwezo mkubwa wa kijana huyu kwa kujitengenezea mfumo ambao si tegemezi na utamsaidia hata pindi amalizapo masomo yake hakika nimejifunza kitu.

Leave a Reply

Author

Hello, I'm

Latest Post

Latest Tags