Kim Kardashian amjibu Kanye West

Kim Kardashian amjibu Kanye West

Unaambia baada ya ukimya wa muda mrefu mwanadada Kim Kardashian ameamua kumjibu aliyekuwa mume wake Kanye West ambapo amemtaka aache kumchafua mitandaoni.

Kim amemtaka Kanye kuacha kumchafua mitandaoni kwa kusema kuwa amemnyima na kumzuia asionane na watoto wake jambo ambalo amedai kuwa si la kweli.

Kim akijibu posti ya Kanye amemtaka aache mambo ya kupeleka vitu hadharani na kudai kuwa Kanye asubuhi tu alikuwa nyumani kwake akiwachukua watoto na kuwapelea shule.

“Please stop these Narrative, you were just here this morning picking up the kids for school,” aliandika Kim






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags