Peter AkaroMwanamitindo wa Marekani, Kim Kardashian (44) amepanga kumpa mtoto wake wa kwanza, North, 11, pete ya almasi aliyovishwa wakati anachumbiwa na aliyekuwa mume wake, ...
Mwanasheria wa Cassie Ventura, Douglas Wigdor amefunguka kuwa hapokei visingizio vyovyote kutoka kwa Diddy, baada ya kudaiwa kwamba video ikimuonesha akimshambulia mteja wake ...
Mwanamuziki Diamond Platnumz ametajwa kuwa msanii wa kwanza Afrika Mashariki na Kusini kufikisha stream milioni 500 kwenye mtandao wa kusikiliza na kuuza muziki Boomplay.Rekod...
Mwanamuziki wa K-Pop kutoka Korea Kusini, Wheesung, anaripotiwa kukutwa amefariki nyumbani kwake jana Jumatatu Machi 11, 2025. Huku polisi wakichunguza sababu ya kifo chake am...
Mkali wa hip-hop, Jay-Z amekuwa akiweka wazi kuhusu maisha yake ya awali na uhusiano wake na baba yake, Adnis Reeves ambaye aliikimbia familia. Katika mahojiano aliyofanya hiv...
Mojawapo ya sababu kuu zinazochochea ukuaji wa muziki wa Afrika katika soko la kimataifa inatajwa kuwa ni ushirikiano ‘kolabo’ kati ya wasanii wenyewe kwa wenyewe ...
Leo ni siku ya kimataifa ya wanawake ambayo huadhimishwa Machi 8 ya kila mwaka duniani kote kwa lengo la kutambua haraka ambazo zinalenga kupigania usawa kujinsia, haki ya kuz...
Wanapotajwa mastaa wenye mchango mkubwa kwenye gemu ya Bongo Fleva, Joachim Marunda 'Master j' jina lake lazima liwepo.Uzoefu wake kwenye gemu huku akiwa amenoa vipaji mbalimb...
Mwanamuziki wa Nigeria Paul Okoye ‘RudeBoy’ wa P-Square amesema pacha wake Peter ‘Mr P', ndiye aliyehusika kumuweka gerezani kaka yao mkubwa Jude Okoye. Aliy...
Na MICHAEL ANDERSON
Nidhamu maana yake ni utaratibu au sheria anayojiwekea mtu au kuwekewa mtu katika kufanya au kutofanya kitu ama jambo fulani.
Mara nyingi nidhamu humwongo...
Baada ya kuripotiwa kwa taarifa za kifo cha mwigizaji maarufu Kim Sae-ron (24) aliyefariki dunia nyumbani kwake jijini Seoul, hatimaye sababu kifo chake imetambulika.Kwa mujib...
Tasnia ya filamu na burudani Korea Kusini imepata pigo baada ya taarifa za kifo cha mwigizaji maarufu Kim Sae-ron (24) aliyefariki dunia nyumbani kwake jijini Seoul.Kwa mujibu...
Baada ya video za mwanamuziki Mbosso kusambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuonyesha akiwa hospitali amelazwa. Msanii huyo ameweka wazi kuwa alikuwa akisumbuliwa na tatizo l...
Ni miaka saba sasa tangu Marioo aachie wimbo wake wa kwanza 'Dar Kugumu'(2018). Licha ya kuwa wakati msanii huyo anaingia kwenye game aliwakuta nyota wengine waking'ara kama v...