Diamond Platnumz aweka rekodi mpya

Diamond Platnumz aweka rekodi mpya

Achana na rekodi ya kuwa msanii wa tatu Afrika 2021, unaambiwa mwenye nacho huongezewa kila siku, EP ya First Of All (FOA) ya Diamond Platnumz imeweka rekodi ya ngoma zote kuingia 'Trending Music kwenye mtandao wa YouTube.

 

Diamond Platnumz ameweka rekodi ya nyimbo zake zote kuwa trending music kuanzia nafasi ya namba 1 na namba 2, kisha kuendelea tena kuanzia namba 4 mpaka 11.

 

EP ya FOA imetoka rasmi siku ya Machi 6 ikiwa na ngoma 10, na ametumia siku 12 tu kuweka rekodi hiyo kwenye mtandao wa YouTube.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags