Shilole wataka wanawake kuwaheshimu wanaume

Shilole wataka wanawake kuwaheshimu wanaume

Anaandika msanii Shilole kwenye page yake ya Instagram kuhusu harakati za wanawake katika maisha pia amewataka waendelee kuwaheshimu wanaume.

"Sikia sauti ya Komando Shishi, anakukumbusha kwamba tuendelee kuwa na heshima kwa wanaume, tuwe wanyenyekevu na kutimiza wajibu wetu wa umama, udada au kuwa wake zao lakini hilo halina maana kwamba sisi ni wanyonge".

"Komando Shishi anakuamsha mwanamke, kamata silaha zako nenda vitani, katafute riziki yako, lazima watuheshimu kama sisi tunavyowaheshimu. Tujijenge tusiwe wanyonge, tengeneza kipato chako hata kama ni kidogo" ameandika Shilole






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags