Linex: Uwoga sio dhambi

Linex: Uwoga sio dhambi

Msanii wa Bongo Fleva Sunday Mseda Alias maarufu kama Linex Linenga amefunguka huko mitandaoni na kusema kuwa mtu muoga sio dhambi.

Linex ambaye amefanya na anaendelea kufanya vizuri katika Game la Bongo Fleva ameyasema hayo katika ukurasa wake wa Twitter huku akisisitiza kuwa uwoga unarefusha maisha.

“Tusisahau mtu muoga, usimulia matukio ya mtu jasiri kuwa muoga sio dhambi, deni kinachosababisha kunguru anaishi miaka mingi ni uwoga, uwoga unarefusha umri,” ameandika Linex.

Hebu na wewe msomaji wetu tuambie unakubaliana na maneno haya ya Linex, dondosha comment yako katika ukurasa wetu wa Instagram ambao ni @mwananchiscoop.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags