AY, MWANA FA mbioni kuachia ngoma

AY, MWANA FA mbioni kuachia ngoma

Ebwana eeh!! tegemea kukutana na na ngoma mpya kutoka kwa Ay pamoja na Mwanafa  siku za hivi karibuni.

Sasa basi kutoka kwenye ukurasa wa Instagram Ay amepost kipande cha video wakiwa studio pamoja na producer hermyb wakifanya jambo.

Kupitia post hiyo bwana imewaaminisha mashabiki wa wasanii hao kuwa huenda wakakutana na ngoma ya pamoja tena kutoka kwa wawili baada ya muda kidogo kupita bila ngoma ya pamoja.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags