Odemba, Naomba mnisapoti

Odemba, Naomba mnisapoti

Ohoo !! unambiwa bwana baada ya kuingia kwenye muziki rasmi mwanamitindo maarufu Ulimwenguni Miriam Odemba na kuachia ngoma yake ya kwanza inayokwenda kwa jina la rafiki mwanamitindo huyo ameomba sapoti.

Mwanamitindo huyo ameomba sapoti kwa wasanii kutoka tanzania huku akiweka wazi kabisa kwa msanii Diamondplatnumz amsapoti muziki wake.

kupitia mahojiano aliyoyafanya na kituo kimoja cha televisheni Miriam amesema hivi ..."siwezi kusema kitu kibaya au nitoke na mtu ili niwe superstar, tayari ninafahamiana nao lakini siwezi kutengeneza trend ili niweze kutoka, naombeni muweze kunisaidia as miriam odemba, namuomba diamond  popote alipo apost nipate ata views 10k au subscribers 3k rafiki ni wimbo wa Taifa”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags